MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA NCHINI SOMA LIVE KUPITIA UKURASA HUU

BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE ON BEHALF OF NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

About these ads

186 responses to this post.

 1. Posted by LIVIN ADOLF on February 8, 2012 at 5:26 pm

  Index No S.3277/166
  MIHAMA SECONDARY SCHOOL MWANZA.

  LIVIN ADOLF

  Reply

  • Kwa nini matokeo ya kidato cha nne yanachelewa?au ni tatizo la mitaala

   Reply

   • Posted by Anderson shimbi on February 12, 2013 at 3:07 pm

    inasikitisha kuona kuwa hapa Tz bado kuna watu wenye uelewa duni kama wako, mtu anathubutu kuingia kwenye mtandao na kuandika kuwa eti ” matokeo ya mitihani yanachekeweshwa na mitaala” ! loo! na wewe yawezekana umeathrika na mawazo duni kutoka kwenye chama chetu kinachoamini kuwa kila kitu ni kupinga hata kama ni kizuri, pinga hata jina lako, pinga hadi ufe! Hata hivyo tunashangaa kuona kuwa hawapingi ubunge wao ambao umetokana na katiba ya serikali na chama tawala kilichotayarisha katiba iliyowatengeneza wenyewe na leo hii wanada eti katiba hii siyo nzuri na siyo rafiki kwa watanzania!

   • Posted by Elinasha Jr Mndeme on February 19, 2013 at 6:08 am

    Ni vyema bwana Andason shimbi ukaelewa kinachoulizwa ndipo ukajibu hafu tumia hoja yenye nguvu kuliko kutumia mabavu ukizani kila kitu siasa za kibongo ambazo wanazani kila kitu ni kusema uongo ukweli kwamba hakuna mtaala wa elimu tanzania. hilo nalo alihitaji kutumia nguvu kwakati wanaoangamia ni watanzania cha msingi tulete hoja ya kuijenga tanzania sio kushabikia siasa za kiuni na zile za kipwagu na pwaguzi alizozisema spika makinda.

  • Matokeo mbona yamechelewa

   Reply

 2. Posted by Abel on April 30, 2012 at 9:10 pm

  Wamefanya vibaya

  Reply

 3. Posted by lukas katemani on December 15, 2012 at 7:08 pm

  S.1096/0026 MITUNDU SEC.SCHOOL

  Reply

 4. Matokeo ya kidato cha nne

  Reply

 5. Posted by kityege vicent on January 9, 2013 at 9:39 pm

  kwa matokeo ya kidato cha nne cio mazuri ila tu kwa mwaka ujao nawashaur wanafunz waongeze bidii ktk kusoma

  Reply

 6. matokeori
  ya tatokavizu

  Reply

 7. Posted by Gabriel Okey on January 15, 2013 at 6:06 pm

  Matokeo ya mwaka 2012 yatatoka lini??? 2mechoka kusubiri!

  Reply

 8. matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 yanatoka lin tunausongo nayo

  Reply

 9. Waziri fanya haraka kutoa matokeo kwasababu tumechoka kusubiri au tuambie ni tarehe ngapi watokeo yatatoka rasmi

  Reply

 10. Posted by gudluck mushi on January 20, 2013 at 1:54 pm

  matokeo lin? jaman

  Reply

 11. Posted by Nassb the baba white on January 20, 2013 at 7:56 pm

  jaman loooh!!!!nataka kujua liin wanayaweka hadharan matoke ya kidato cha nne 2012

  Reply

 12. Posted by singano on January 21, 2013 at 1:01 pm

  pressure inapanda pressure inashuka jaman hayo matokeo lini jamani?

  Reply

 13. jaman mbona matokeo ya shule yng cyaon?

  Reply

 14. Posted by michael on January 21, 2013 at 8:38 pm

  Matokeo yanatokalini

  Reply

 15. Posted by joseph konchellah on January 27, 2013 at 4:56 am

  Jamani nêcta vpd titilishèn matokeo basi tumèchokad

  Reply

 16. Posted by NIKUSUBILA on January 28, 2013 at 8:40 am

  NINA HAMU NA MATOKEO YA MDOGO WANGU. XO NI VEMA NIJUE LN YATATOKA.

  Reply

 17. Posted by nhandys batista davids on January 28, 2013 at 12:18 pm

  2natakiwa kupunguza presha jaman

  Reply

 18. MATOKEO YATATOKA LINI? MH WAZIRI TUNAOMBA UTUAMBIE NA KAMA MABAYA MSIYATOE.
  0657513941

  Reply

 19. dah!presha inapanda presha inashuka 2naomba kujua matokeo yanatoka lin?

  Reply

 20. Posted by bony on January 29, 2013 at 2:18 pm

  JAMANI NI KWELI KABISAAAAAAAAAAAA HAYA MATOKEO TUMEYASUBILI SAAAANA HADI TUMEANZA KUSAHAU KAMA TULIFANYA MTIHANI SO WATUDHIHILISHIE

  Reply

 21. Posted by tabitha mshana on January 30, 2013 at 8:32 am

  jmn tel us when watu tuna waswas san lin it wil be out this result

  Reply

 22. waziri huuh yan MUNGU ATUSAIDIE YAN DAH yanatoka lini?

  Reply

 23. Posted by neema kibona on January 30, 2013 at 7:07 pm

  ooooh pleas matokeo lini

  Reply

 24. yatatoka kabla ya tar 20 mz wa pl punguzen presh

  Reply

 25. Posted by fedrick masunya on January 31, 2013 at 12:30 pm

  Nataka nijue matokeo ya kidato cha nne 2012 yanatoka lini?

  Reply

 26. Posted by SALUM LIPENDELE on January 31, 2013 at 2:23 pm

  Waziri tupe matokeo tujue mapema nini hatma yetu maana twaweza kufa kwa presha

  Reply

 27. Posted by Isaiah mwaseba on January 31, 2013 at 11:14 pm

  JAMANI NECTA SIMYATOE HAYO MATOKEO AU MPAKA MSIKIE WATU WAMEKUFA KWA PRESHA

  Reply

 28. MMMM JAMANI TANGAZENI BASI HAYO MATOKEO

  Reply

 29. Posted by kennedy finnidy on February 2, 2013 at 9:12 am

  hebu yatoeni hayo matokeo watoto huku wana wenge nayo

  Reply

 30. mbona matokeo ya mwaka 2012 yamecheleweshwa sana

  Reply

 31. Posted by aneth clement on February 2, 2013 at 12:06 pm

  jaman waoneeni huruma hata kwenye kombi tu hapo kidogo

  Reply

  • Posted by gwantwa asukile on February 3, 2013 at 9:13 pm

   jaman matokeo kidato cha nne tarehe ngapi? Sisi ambao tulisoma qt tunahitaji kujua kwanini mnatuchanganya na wanaorudia mtihan wa kdato cha nne kwasababu wao wana idea

   Reply

 32. Posted by zubeda on February 2, 2013 at 7:56 pm

  nombeni mtoe huo mtihani jamani nimechoka kusubiri

  Reply

 33. Posted by haikasia brown on February 3, 2013 at 4:53 pm

  Daah! jaman hayo matokeo vipi??wenzenu huku had matumbo yanauma..toeni basi tutulie.eh!.matokeo lin?

  Reply

 34. Jaman sema 2 yanatoka lin tujue cha kufanya jaman

  Reply

 35. matokeo watayakana sabu yamechelewa.
  pipo they 2no their side.

  Reply

 36. Posted by Moh'd kh.Jaha on February 4, 2013 at 3:32 am

  Tumechoooka taaaban,wa2ambie tu ili 2jijue kama wauza mi2mba au wauza chips!

  Reply

 37. Posted by SELESTINA J LORRY on February 4, 2013 at 9:08 am

  matokeo lini

  Reply

 38. Posted by today on February 4, 2013 at 11:31 am

  matokeo yatatoka ktkt ya mwezi wa pili kwa hiyo punguzeni presha pamoja na waswas but dont worry for that please site down and wat when the date was comed you will known you are results

  Reply

 39. Posted by novatus lukoa on February 4, 2013 at 12:36 pm

  du twambien ln 2kio il presa ipungue

  Reply

 40. Mmesema sana matokeo sasa yanatoka ndani ya wiki hii so jiandaen kuyapokea

  Reply

 41. Posted by ben on February 5, 2013 at 8:45 am

  mmmh matokeo vp kimya?

  Reply

 42. Posted by Jb Seven on February 5, 2013 at 12:28 pm

  Dah kiukweli tumeshachoka kusubilia matoke mh. waziri ebu harakisha mambo ili walio feli wajue wanajipanga vipi katika maisha yao. kama wanarudia au laa!

  Reply

 43. Posted by flora on February 5, 2013 at 4:33 pm

  DaaH!!!!!!!!! Jamani matokeo lini wengine huku tunakalibia kujinyonga jamani tuelezeni lini hayo matokeo kama mmesaisha vibaya bora hata msitoe.

  Reply

 44. Posted by Afidhi ngela on February 5, 2013 at 6:26 pm

  jaman matokeo yanatoka ijumaa tarehe 8 mwez wa 2 mwaka 2013 mtayapata mashulen kwenu sawa vijana msihofu maombi ndo jibu

  Reply

 45. Posted by shinun on February 5, 2013 at 7:42 pm

  it has been 2 long waiting 4 results
  please announce them fast coz i think am going 2 die 4 thirst of hearing them

  Reply

 46. Posted by melkiory mmanda on February 5, 2013 at 9:29 pm

  mbona matokeo ya kidato cha nne yamechelewa hvyo? Mrosso kutoka oxford university.

  Reply

 47. Posted by Mgesy henerico on February 6, 2013 at 5:00 am

  Duh bora yatoke 2jipange

  Reply

 48. Posted by linda on February 6, 2013 at 9:42 am

  kama tayari cmyatoe 2 mana wengine 2napresha bora 2jue mapemaaa!!!

  Reply

 49. Natumaini matokeo yatatoka kwa haki ya kila mwanafunzi wa kidato cha nne

  Reply

 50. Posted by Festo on February 6, 2013 at 1:38 pm

  toeni matokeo haraka kwan ninataka kujua maendeleo ya dem wang

  Reply

 51. Posted by kantu on February 6, 2013 at 8:04 pm

  jaman trust on god b’z he is da only 1 who knows what we doesn’t know…..

  Reply

 52. Posted by Said on February 7, 2013 at 7:17 am

  Matokeo mpaka lin maana tumechoka kusubir

  Reply

 53. Jaman 2mekaa sana nyumbani hadi 2shaaza sahau kama tulikuwa wanafunzi tunamuomba waziri atutangazie matokeo tu kwani tunahamu nayo sana.

  Reply

 54. Posted by josephkipi on February 7, 2013 at 10:17 am

  wac turushie bhana watupe ki2,hichoooooooooooooo

  Reply

 55. jamn necta fanyn fast ktoa rst coz 2wai kurist m2onee hruma

  Reply

 56. Posted by flora on February 7, 2013 at 7:01 pm

  Jamani matokeo lini wengine tu presha toweni matokeo kabla wengine atujajitia kitanzi mapema au waziri wewe hilo ulioni?

  Reply

 57. Posted by christian charles dotto on February 7, 2013 at 7:42 pm

  jaman weken k2 hewan waone walchopanda xo alopanda mahnd akategemea mpung 2muone xax

  Reply

 58. Posted by Abdoullatee mohd on February 7, 2013 at 10:07 pm

  Jaman matokeo co maxhara yanatia wa2 prsha.

  Reply

 59. Posted by elia galos on February 7, 2013 at 10:20 pm

  Dah! kama ipo ipo 2 tuone matokeo 2yaone

  Reply

 60. Jaman kojangoja ni kelo awa necta waweke mambo wazi2 na sio kufichaficha

  Reply

 61. JAMANI MBNA MNATUFANYIA HVY MBONA HAMYATANGAZI HY MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MPAKA LEO

  Reply

 62. Posted by zanzibar2012 on February 8, 2013 at 4:41 am

  mbona hatuyaoni halafu mnatwambia yashatoka

  Reply

 63. Posted by ben on February 8, 2013 at 5:41 am

  kwa hiyo unavyoweka index yako akuangalizie nani matokeo yako? usitutie presha!

  Reply

 64. kwann serikal haiwek muda maalum wa matokeo ya kdato cha 4 kutoka?

  Reply

 65. Posted by ABDULRAHMAN on February 8, 2013 at 6:33 am

  huku kuchelewesha matokeo kunatufanya tuamini kuwa kuna uchakachuzi unaendelea bor tutumie utaratibu wa KENYA , unafanya mtihani na kupata matokeo ndani yaWIKI
  moja..

  Reply

 66. Posted by gideon mafwiri on February 8, 2013 at 6:46 am

  matokeo ya mtihani kidacho cha nne mwaka 2012

  Reply

 67. Posted by ZACHARIA NTANDU on February 8, 2013 at 7:15 am

  Jamani 2mechoka kulushwa roho kila cku toeni 2jue moja!

  Reply

 68. 2nataka kujua matokeo yanatoka lini cz presha zipo juu juu jamani

  Reply

 69. Posted by Rajah on February 8, 2013 at 8:14 am

  Mmecha wenyewe kwan mtihan mlifanya nao. Nyie mkiwa tayar toeni msisikilize hao madogo hawajua ki2.

  Reply

 70. Posted by albongo on February 8, 2013 at 8:30 am

  tangazen hlo tokeo bas maana madogo wanachanganyikiwa!!!

  Reply

 71. jamaniiiiii! chonde chonde twafa tendeni nguzuuuuuuuuu!

  Reply

 72. msijaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  Reply

 73. Posted by VICKY on February 8, 2013 at 10:12 am

  JAMANI ACHENI PRESHA KILA MTU ATAVUNA ALICHO PANDA!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Reply

 74. am general secretary of national examination council of tz,i think most of form four student hv great dismay about result but i wnt to say that tha result is not good four this year i expect as soon as possible will be online

  Reply

 75. Posted by Emalugenge on February 8, 2013 at 10:40 am

  Dah jaman 2naombeni matokeo hayo

  Reply

 76. Posted by maria on February 8, 2013 at 10:54 am

  mbona hayapo usanii mtupu

  Reply

 77. Kumbukeni kuwa mmebania maisha ya watu

  Reply

 78. Posted by namanyere on February 8, 2013 at 11:37 am

  sasa yana toka lini

  Reply

 79. Posted by fortunata kisinga on February 8, 2013 at 11:57 am

  mmmmmmmmhhhhhh

  Reply

 80. Posted by idrath adamu on February 8, 2013 at 12:49 pm

  tolembi bino,pourquoi vous ne voullez pas nous donner les resiltants de nos examens.

  Reply

 81. Da! nawewe Zacharia Mtandu unasubili matokeo uta drop down ukiyaona nizaidi ya ZIMBABWE.

  Reply

 82. Posted by YOJAZE on February 8, 2013 at 3:42 pm

  afu huu mpango wa JKT ni vp …….?

  Reply

 83. Posted by bunoge on February 8, 2013 at 4:04 pm

  nimepitia nakala mbalimbali za wadau wa elimu nchini TANZANIA wakionesha shauku ya kupata matokeo ya kidato cha nne 2013.Hii inaonesha ni jinsi gani raia amekuwa mtu wa kutafiti na kutaka kuona anapata majibu yanayo sitahili kwa wakati mwafaka.Kusudio langu ni kuungana na fikira zinazoishi za watanzania makini na kuikumbusha serikari kupitia kwa WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI kuweka wazi suala zima la matokeo hayo ili kuondoa taarifa mlalo zinazovuma bila kizuizi cha serikali na wizara ya uzibiti wa taarifa mnong’ono. SIMANISHI KWAMBA WAZIRI UMELALA LA HASHA NAKUKUMBUSHA TU KWAMBA TAARIFA NI KIINI CHA MAENDELEO.TOA KAULI YAKO ISIKIKE USISUBILI KUKUMBUSHWA KWA MAANDAMANO NA KWA KUUNDA TUME ZA KULA FEDHA ZA WATANZANIA MASIKINI.

  Reply

 84. Posted by ibrahm hasan on February 8, 2013 at 4:07 pm

  Oya jaman vp mbona prexha tumesha ambiwa yametoka

  Reply

 85. Posted by chrisantus tarimo on February 8, 2013 at 6:18 pm

  naomba matokeo ya shule namba s.2012

  Reply

 86. Posted by john j kaneno on February 8, 2013 at 6:56 pm

  naomba mnitumie matokeo ya kidato cha nne 2012 ya shule ya
  kijitonyama secondary school
  please i’ll be pleasure to see them.

  Reply

 87. Posted by ben on February 8, 2013 at 7:10 pm

  du jaman twafwaaaaaaaaaaaaaaaaa

  Reply

 88. Posted by jackson malebo on February 8, 2013 at 8:27 pm

  jamani..acheni uhuni huoooooooooooooooooooooooooooo

  Reply

 89. Posted by KIVUYO MILANYI M on February 9, 2013 at 1:55 am

  Jamani hayo maa kidato cha nne 2013 mtatangaza lini?

  Reply

 90. Posted by KIVUYO MILANYI M on February 9, 2013 at 1:59 am

  it is too late for form four results 2013 to be announced why?

  Reply

 91. Posted by leonard besha on February 9, 2013 at 4:55 am

  yatoeni jaman tuyaone

  Reply

 92. Posted by peter mtitu on February 9, 2013 at 6:37 am

  kwann watu tunadanganyana na matokeo bado ayajatoka…….

  Reply

 93. Posted by mssa on February 9, 2013 at 7:13 am

  mbna udaku saaaaaaaaaaaaaaana! sioni kitu

  Reply

 94. Posted by Pascal Sumuni on February 9, 2013 at 8:01 am

  Waiting

  Reply

 95. Posted by dbabycaty@yahoo.com on February 9, 2013 at 8:29 am

  jaman 2ambie tareh ya ukwel lin yanatoka maana dah 2mechoka

  Reply

 96. Posted by gwebe on February 9, 2013 at 11:55 am

  mnatuzingua tu na hayo matokeo yenu kila siku kesho

  Reply

 97. Posted by gwebe on February 9, 2013 at 11:56 am

  tumeshokaaaaaaaaaaaaaaaaa

  Reply

 98. Posted by Irene Massawe on February 9, 2013 at 2:02 pm

  matokeo lin ??coz tumekonda kuyasubir jaman ,..

  Reply

 99. ACHENI UJINGA TUMENI MATOKEO YETU TUONE TULICHOPANDA KWANI NI WENU MNANIKELA KUCHELEWESHA MATOKEO MBONA MTIHANI HAMKUCHELEWESHA INAKUWAJE?

  Reply

 100. Posted by sylivia on February 9, 2013 at 2:50 pm

  tumechoka kusubiri hayo matokeo maana presha zinapanda bora muwe wazi mapema

  Reply

 101. baraza what are u waiting for?
  give out results plz.

  Reply

 102. Posted by edwigi on February 9, 2013 at 3:00 pm

  Jamani mmekuwaje na matokeo mvumilieni mbona yatatoka tu, badala ya kuulizia paper zenu kama watazilejesha mkaona mlipokosea nyie mnalilia matokeo tu . Hamjui kwamba wengine wanaweza kuchanganya namba za waliofail wakawa washindi na walioshinda wakawa washindwa.
  Kwa hiyo sarikali tunaiomba mturejeshee paper zetu tuone tulipo pata na tulipokosea

  Reply

 103. Wote mlio na presha mmefaulu mtihani.

  Reply

  • Posted by Gamba on February 19, 2013 at 10:19 am

   Mtafaulu si ki hivyo, shuleni mnacheza mnategemea miujiza ,kipaji chenu ni kushika mistari, madisko na kuzurura kwa nini shetan asiingilie kati na kukupa Divsion 000000000000000000

   Reply

 104. Posted by lameck josiah on February 9, 2013 at 6:34 pm

  jamani leo nimeambia kitu kimeitika nimekurupukaje kuingia hum kuangalia kumbe udaku mtupu jamani tuambie lini kitu kitakua hewani baasi ili ata pressure ipungue

  Reply

 105. Kwanini balaza la mtihani hamtaki kuanika juani?

  Reply

 106. Posted by Nelson kimario on February 10, 2013 at 7:31 am

  yametokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! kweli madoa ya kweny nguo yangu leo yametokaa,jaman tunapresh sn ila kuna taarifa kwamb waziri atatangaz matokeo yetu so tupunguze presha.

  Reply

 107. utavuna ulichopanda ndugu yangu kama ulikuwa unacheza na kuwaza mambo mengine shauli yako utaenda kijijini kulima majaluba na mvua hakuna utaishi vp na ada umekula za wazazi wako muvunia juani hulia kivulini je wewe utalia wapi jiulize miaka minne kila siku shule unahudhulia hujaacha hata siku moja na umepata 35 why kwa nini hata chekechea hufundishi

  Reply

 108. nimechoka kusubir men!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mnaoteana vitambi2 mnaboaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  Reply

 109. Posted by SADDAM SAMMY on February 10, 2013 at 1:57 pm

  Jamani mbona tunaumishana mioyo sio vizuri kama vp nyie fungukeni tu!

  Reply

 110. Posted by HAMIMU MUSSA on February 10, 2013 at 2:08 pm

  duh! form four livers woooooote 2012 mitihani yenu iliungulia kwenye chumba cha kuifadhia mitihan xo mnatakiwa kurudia darasa na kufanya mtihan huo upya watakaokubali kurudia mtihan mnasomeshwa bureeeeeeeeeeeeeeeeeee.je wangapi wako tayar?

  Reply

 111. Posted by Carlo George on February 10, 2013 at 2:29 pm

  Mtakapotaka kuyaweka online,mtutangazie kwenye media kabla

  Reply

 112. Posted by Emmanuel Pontian on February 10, 2013 at 5:34 pm

  da me sielewi itakua je maana magumashi ni mengi

  Reply

 113. wengi walio comment inasemekana wana division 4

  Reply

 114. Posted by Tembo mtoto on February 10, 2013 at 6:53 pm

  matokeo yatatoka tu wala msihofu.kelele hazisaidi.

  Reply

 115. Posted by Edward shayo on February 11, 2013 at 4:26 am

  oya acheni kutubania matokeo.

  Reply

 116. Posted by Mary Sev on February 11, 2013 at 5:13 am

  Yatoen leo basi,tunayasubiri coz kwa sasa hamna kazi inayofanyika ni kusubiri hyo matokeo.Make matokeo yamekuwa matokeo

  Reply

  • Posted by nelson on February 11, 2013 at 7:44 am

   HEY GUYS,why are you so worrying bout ur results!once are ready you will see it soon.xo be tolerant.some guys will gonna run crazy when see their results.

   Reply

 117. Posted by ally soud on February 11, 2013 at 6:24 am

  jamani lini mtatoa matokeo ya kidato cha nne
  maana tumekuwa watu wenye presha sana

  Reply

 118. Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 hayaridhishi

  Reply

 119. Posted by fidelis minja on February 11, 2013 at 8:28 am

  vema baada ya kutangazwa matokeo yangewekwa kwenye mtandao
  wanafunzi hawana amani hata chakula hawali tunaomba yakishawekwa basi mtujulishe kwa barua pepe

  Reply

 120. Matokeo ya kidato cha nne lini?

  Reply

 121. Posted by Bashiru mtopa on February 11, 2013 at 10:28 am

  Jaman tuwen na subra kwan kila kwenye jambo la kher lazima pawe na subir

  Reply

 122. Posted by Samwel kimaro on February 11, 2013 at 2:12 pm

  Matokeo yatoke baada ya valentine

  Reply

 123. Ni muda muafaka kutangaza matokeo sasa.Baraza fanyeni hivyo ili Watoto wajue walichovuna na wajipange kwa kinachofuata.

  Reply

 124. Matokeo vip mbona amtoki au mwawachagua watoto wa vigogo kwanza..¡¿

  Reply

 125. Posted by Katelefoni on February 12, 2013 at 2:38 pm

  Subira n€ri lakn ngumu

  Reply

 126. i really wanna knw wen r de results going to 2 b out 4 sure………plz tel us in advance……….

  Reply

 127. Posted by asha on February 12, 2013 at 9:43 pm

  posted by Asha singida

  matokeo lini ndugu waziri nataka nione ya mdogo wangu

  Reply

 128. Posted by babuumajaliwA on February 13, 2013 at 11:29 am

  jaman so mtupe tu hayo matokeo

  Reply

 129. Posted by BENSON MAKAMBI on February 13, 2013 at 4:00 pm

  NAOMBA KUTUMIWA MATOKEO YA KIDATU CHA NNE 2012

  Reply

 130. guute ohahindaka oryo, matokeo a khayla? jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  Reply

 131. muki gari tlehi wizaraniro, matokeo bere tiimitka……………..

  Reply

 132. Posted by ian andrew on February 18, 2013 at 6:36 am

  baraza sasa naona kama mnaboa kwa hayo matokeo,watu hawafanyi vitu vyengne kwa sabu ya haya majibu..

  toeni bac!! au semeni chochote kuhusu matokeo hayo yatatoka lini!?

  Reply

 133. Posted by Elisante Hamadi Mshana on February 18, 2013 at 11:38 am

  presha inapanda mara inashuka

  Reply

 134. jamani matokeo hayo vipi mbona mnatuweka roho juu juu toeni tuwe na amani yawe ya haki msiyachakachue maana mmezidi kufelisha hatutarajii kuona kiwango kimeshuka bali kiwango kinapanda maana tutaandamana.

  Reply

 135. Posted by Nelson Alex on February 18, 2013 at 1:02 pm

  Vjana jpe moyo punguza presha cku co nying matokeo yatatoka…..

  Reply

 136. Mbna matokeo yanazingua kfnguka kwnye hii blog enu?

  Reply

 137. Bdo yanazngua 2, rekebishen ariifu!

  Reply

 138. Posted by glory msacky on February 18, 2013 at 1:40 pm

  mbona hayaonekani jamani

  Reply

 139. Posted by Goldenplatinum on February 18, 2013 at 2:32 pm

  …hawa madada wamezd udadapoa acha wafeli wakapigike alaf wapate akili fresh….

  Reply

 140. Posted by Norbert Cassian Emilian on February 18, 2013 at 2:45 pm

  why necta results are so bad,tatizo lipo wapi
  coz wanafunzi wanajibu maswali kama walivyo fundishwa darasan bt at de end
  manafeli,

  Reply

 141. Posted by CHARLZ on February 18, 2013 at 3:21 pm

  TULIENI ACHENI KIHELEHELE

  Reply

 142. Posted by winnie andrew on February 18, 2013 at 4:38 pm

  hey there we are getting us tied where are the results mpaka macho yanakufa

  Reply

 143. Posted by mtesigwa on February 18, 2013 at 4:50 pm

  wizara elimu boresheni brog zenu kwani zinazingua au ndo digitali?

  Reply

 144. Y HI BLOG INA SUMBUA ??? ukurasa wa matokeo hauji vipi?

  Reply

 145. WELL JE NI KWELI “MVUMILIVU HULA MBIVU”? AU WENGINE “TULSHASEMA SIZITAKI MBIVU HIZI”?

  Reply

 146. Posted by patrick mayunga on February 19, 2013 at 12:24 am

  atokeo ya mwaka huu ayaeleweki

  Reply

 147. Posted by Jerry Isaac on February 23, 2013 at 11:47 am

  Orodha ya matokeo ya shule mbalimbali.

  Reply

 148. Posted by Sunday gervas on February 23, 2013 at 6:11 pm

  Wote wa DIV-4 wapelekwe high school wamejitaid sana

  Reply

 149. Posted by romana massenge on May 14, 2013 at 11:37 am

  Naombeni muwe makini na hayo matokeo msifanye watu waendelee kuumia ni matumaini kuwa yatakuwa mazuri hata kwa private candidate watarajie matokeo mazuri.

  Reply

 150. tungelipenda hata yatangazwe kesho ili nasi tujenge hishima kwa watu.

  Reply

 151. Posted by Ngido on May 30, 2013 at 4:13 pm

  Ok

  Reply

 152. Posted by Asmahan on June 3, 2013 at 4:42 am

  Mbona hamtuletei ayo matokeo

  Reply

 153. Posted by Kamuga masanja on June 4, 2013 at 3:28 pm

  Me naona matokeo bdo mabovu xana chakufanya wazr wa elmu na baraza lake wakubal 2 kuajibika kama alvyo fanya lowassa.

  Reply

 154. For those student in o_lever just study hard inorder to achieve your goal dont be lazy in class be creative to find summary for ur study ok dont love bad relalionship like to have lovely in school coz i know in school have no true love, true love in school is to study hard.

  Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

Join 8,356 other followers

%d bloggers like this: