TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012

http://wwwmasterkif.blogspot.com

About these ads

6 responses to this post.

 1. Posted by JACKSON MAFWIMBO on February 19, 2013 at 2:07 am

  asante sana kaka,nimeyapata mtokeo yote niliyoyataka,nashukuru sana kwani address nyingine zilikua hazifunguki kabisa.

  Reply

 2. Posted by SHATRY on February 19, 2013 at 5:17 am

  matokeo mabaya sana wanafunzi elfu 16 tu ndo wamefaulu hao wengine wamejaza majina tu? baraza la mitihani litajibu.

  Reply

  • Posted by Stanley Kyungai. on February 19, 2013 at 4:19 pm

   kwa kweli hali ni mbaya sana kuhusu matokeo haya.Nina wasiwasi na usahihishaji kwa njia ya computer nadhani hatujafikia hapo.Baraza waangalie hili, kamishna wa elimu kujiuzulu tu haitoshi.

   Reply

 3. Matokeo ya kidato cha nne yamekuwa tofauti na ilivyo tegemewa na wananchi wengi hasa wazazi wa watoto husika.Kwa kweli inauma sana ukizingatia gharama za masomo ziko juu sana,tazama pamoja na gharama hizo mzazi alizozitoa kwa kipindi chote cha miaka minne alafu mtoto anapata daraja la IV au 0 kabisa.
  Serikali yetu itazame suala hili kwa umakini sana kwani hii italeta migongano mikubwa sana ya kifamilia hatimae lawama kwa walezi ambao ni walimu mwishowe kwa taifa.
  Kuna umuhimu sasa wa kuchunguza kwa undani zaidi kugundua tatizo liko wapi kusudi marekebisho yafanyike kwa haraka kuondokana na aibu hii kubwa ya kitaifa kwa sababu baadaye tutakoswa wataalam wa kutosheleza hata kukidhi mahitaji sahihi kulingana na idadi ya ongezeko la watu nchini.kwani sensa ya watu na makazi imeonyesha.

  Reply

 4. NAHITAJI KUSOMAMATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012

  Reply

 5. Posted by tedisto on May 31, 2013 at 3:10 pm

  thanx, for 4m four results

  Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

Join 8,271 other followers

%d bloggers like this: