MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA NCHINI SOMA LIVE KUPITIA UKURASA HUU

BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE ON BEHALF OF NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

186 Comments

      1. inasikitisha kuona kuwa hapa Tz bado kuna watu wenye uelewa duni kama wako, mtu anathubutu kuingia kwenye mtandao na kuandika kuwa eti ” matokeo ya mitihani yanachekeweshwa na mitaala” ! loo! na wewe yawezekana umeathrika na mawazo duni kutoka kwenye chama chetu kinachoamini kuwa kila kitu ni kupinga hata kama ni kizuri, pinga hata jina lako, pinga hadi ufe! Hata hivyo tunashangaa kuona kuwa hawapingi ubunge wao ambao umetokana na katiba ya serikali na chama tawala kilichotayarisha katiba iliyowatengeneza wenyewe na leo hii wanada eti katiba hii siyo nzuri na siyo rafiki kwa watanzania!

        Like

      2. Ni vyema bwana Andason shimbi ukaelewa kinachoulizwa ndipo ukajibu hafu tumia hoja yenye nguvu kuliko kutumia mabavu ukizani kila kitu siasa za kibongo ambazo wanazani kila kitu ni kusema uongo ukweli kwamba hakuna mtaala wa elimu tanzania. hilo nalo alihitaji kutumia nguvu kwakati wanaoangamia ni watanzania cha msingi tulete hoja ya kuijenga tanzania sio kushabikia siasa za kiuni na zile za kipwagu na pwaguzi alizozisema spika makinda.

        Like

  1. JAMANI NI KWELI KABISAAAAAAAAAAAA HAYA MATOKEO TUMEYASUBILI SAAAANA HADI TUMEANZA KUSAHAU KAMA TULIFANYA MTIHANI SO WATUDHIHILISHIE

    Like

    Reply

    1. jaman matokeo kidato cha nne tarehe ngapi? Sisi ambao tulisoma qt tunahitaji kujua kwanini mnatuchanganya na wanaorudia mtihan wa kdato cha nne kwasababu wao wana idea

      Like

      Reply

  2. matokeo yatatoka ktkt ya mwezi wa pili kwa hiyo punguzeni presha pamoja na waswas but dont worry for that please site down and wat when the date was comed you will known you are results

    Like

    Reply

  3. Dah kiukweli tumeshachoka kusubilia matoke mh. waziri ebu harakisha mambo ili walio feli wajue wanajipanga vipi katika maisha yao. kama wanarudia au laa!

    Like

    Reply

  4. DaaH!!!!!!!!! Jamani matokeo lini wengine huku tunakalibia kujinyonga jamani tuelezeni lini hayo matokeo kama mmesaisha vibaya bora hata msitoe.

    Like

    Reply

  5. huku kuchelewesha matokeo kunatufanya tuamini kuwa kuna uchakachuzi unaendelea bor tutumie utaratibu wa KENYA , unafanya mtihani na kupata matokeo ndani yaWIKI
    moja..

    Like

    Reply

  6. am general secretary of national examination council of tz,i think most of form four student hv great dismay about result but i wnt to say that tha result is not good four this year i expect as soon as possible will be online

    Like

    Reply

  7. nimepitia nakala mbalimbali za wadau wa elimu nchini TANZANIA wakionesha shauku ya kupata matokeo ya kidato cha nne 2013.Hii inaonesha ni jinsi gani raia amekuwa mtu wa kutafiti na kutaka kuona anapata majibu yanayo sitahili kwa wakati mwafaka.Kusudio langu ni kuungana na fikira zinazoishi za watanzania makini na kuikumbusha serikari kupitia kwa WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI kuweka wazi suala zima la matokeo hayo ili kuondoa taarifa mlalo zinazovuma bila kizuizi cha serikali na wizara ya uzibiti wa taarifa mnong’ono. SIMANISHI KWAMBA WAZIRI UMELALA LA HASHA NAKUKUMBUSHA TU KWAMBA TAARIFA NI KIINI CHA MAENDELEO.TOA KAULI YAKO ISIKIKE USISUBILI KUKUMBUSHWA KWA MAANDAMANO NA KWA KUUNDA TUME ZA KULA FEDHA ZA WATANZANIA MASIKINI.

    Like

    Reply

  8. naomba mnitumie matokeo ya kidato cha nne 2012 ya shule ya
    kijitonyama secondary school
    please i’ll be pleasure to see them.

    Like

    Reply

  9. Jamani mmekuwaje na matokeo mvumilieni mbona yatatoka tu, badala ya kuulizia paper zenu kama watazilejesha mkaona mlipokosea nyie mnalilia matokeo tu . Hamjui kwamba wengine wanaweza kuchanganya namba za waliofail wakawa washindi na walioshinda wakawa washindwa.
    Kwa hiyo sarikali tunaiomba mturejeshee paper zetu tuone tulipo pata na tulipokosea

    Like

    Reply

    1. Mtafaulu si ki hivyo, shuleni mnacheza mnategemea miujiza ,kipaji chenu ni kushika mistari, madisko na kuzurura kwa nini shetan asiingilie kati na kukupa Divsion 000000000000000000

      Like

      Reply

  10. jamani leo nimeambia kitu kimeitika nimekurupukaje kuingia hum kuangalia kumbe udaku mtupu jamani tuambie lini kitu kitakua hewani baasi ili ata pressure ipungue

    Like

    Reply

  11. yametokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! kweli madoa ya kweny nguo yangu leo yametokaa,jaman tunapresh sn ila kuna taarifa kwamb waziri atatangaz matokeo yetu so tupunguze presha.

    Like

    Reply

  12. utavuna ulichopanda ndugu yangu kama ulikuwa unacheza na kuwaza mambo mengine shauli yako utaenda kijijini kulima majaluba na mvua hakuna utaishi vp na ada umekula za wazazi wako muvunia juani hulia kivulini je wewe utalia wapi jiulize miaka minne kila siku shule unahudhulia hujaacha hata siku moja na umepata 35 why kwa nini hata chekechea hufundishi

    Like

    Reply

  13. nimechoka kusubir men!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mnaoteana vitambi2 mnaboaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    Like

    Reply

  14. duh! form four livers woooooote 2012 mitihani yenu iliungulia kwenye chumba cha kuifadhia mitihan xo mnatakiwa kurudia darasa na kufanya mtihan huo upya watakaokubali kurudia mtihan mnasomeshwa bureeeeeeeeeeeeeeeeeee.je wangapi wako tayar?

    Like

    Reply

    1. HEY GUYS,why are you so worrying bout ur results!once are ready you will see it soon.xo be tolerant.some guys will gonna run crazy when see their results.

      Like

      Reply

  15. vema baada ya kutangazwa matokeo yangewekwa kwenye mtandao
    wanafunzi hawana amani hata chakula hawali tunaomba yakishawekwa basi mtujulishe kwa barua pepe

    Like

    Reply

  16. baraza sasa naona kama mnaboa kwa hayo matokeo,watu hawafanyi vitu vyengne kwa sabu ya haya majibu..

    toeni bac!! au semeni chochote kuhusu matokeo hayo yatatoka lini!?

    Like

    Reply

  17. jamani matokeo hayo vipi mbona mnatuweka roho juu juu toeni tuwe na amani yawe ya haki msiyachakachue maana mmezidi kufelisha hatutarajii kuona kiwango kimeshuka bali kiwango kinapanda maana tutaandamana.

    Like

    Reply

  18. why necta results are so bad,tatizo lipo wapi
    coz wanafunzi wanajibu maswali kama walivyo fundishwa darasan bt at de end
    manafeli,

    Like

    Reply

  19. Naombeni muwe makini na hayo matokeo msifanye watu waendelee kuumia ni matumaini kuwa yatakuwa mazuri hata kwa private candidate watarajie matokeo mazuri.

    Like

    Reply

  20. Me naona matokeo bdo mabovu xana chakufanya wazr wa elmu na baraza lake wakubal 2 kuajibika kama alvyo fanya lowassa.

    Like

    Reply

  21. For those student in o_lever just study hard inorder to achieve your goal dont be lazy in class be creative to find summary for ur study ok dont love bad relalionship like to have lovely in school coz i know in school have no true love, true love in school is to study hard.

    Like

    Reply

Leave a comment