RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI KUZINDUA UJENZI WA JENGO LA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania  nchini Oman katika mtaa wa balozi jijini Muscat Oman jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, (wa tatu kushoto) ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh na (kulia) ni Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Tanzania nchini Oman,  Bwana Abdallah Kilima.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua ujenzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Oman jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe,wa tatu kushoto ni  Balozi wa Tanzania nchini Oman, Bw. Ali Ahmed Saleh,…

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania  nchini Oman katika mtaa wa balozi jijini Muscat Oman jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, (wa tatu kushoto) ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh na (kulia) ni Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Tanzania nchini Oman,  Bwana Abdallah Kilima.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua ujenzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Oman jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe,wa tatu kushoto ni  Balozi wa Tanzania nchini Oman, Bw. Ali Ahmed Saleh, (wa nne kulia aliyeshika) ni Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Oman, Bw. Abdallah Kilima na (kulia anayeshuhudia) ni  Afisa katika Ubalozi huo, Bw. Saidi Mussa.

(Picha na Freddy Maro-IKULU)
Advertisements

One Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s