Nimekutana na Mchungaji Christopher Mtikila katika Mtaa wa Samora jilani kabisa na ofisi za Idara ya Habari Maelezo na tukazungumza machache kuhusu siasa za hapa nyumbani Tanzania hususani Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliomalizika hivi karibuni mjini Dodoma.
Mchungaji amponda uchaguzi huo kwamba uligubikwa na rushwa kubwa tangu ngazi ya chini na amebainisha kuwa CCM ni chama cha wala rushwa
Hapa mchungaji anapiga stori na wananchi waliojitokeza kuzungumza naye muda mchache uliopita kwenye
mtaa huo.Pia unaweza kuzama …http://wwwmasterkif.blogspot.com
Advertisements