WAREMBO KUTOKA ULAYA KUSHIRIKI MISS EAST AFRICA 2012

 

 
MISS EAST AFRICA BELGIUM- Cynthia Ikwene (24).
MISS EAST AFRICA FRANCE- Fiona Ruboneka (24).…
MISS EAST AFRICA BELGIUM- Cynthia Ikwene (24).
MISS EAST AFRICA FRANCE- Fiona Ruboneka (24).
MISS EAST AFRICA NETHERLANDS- Mareg Marcos (21).

Warembo mbalimbali wanaoishi Ulaya na walioshinda katika mashindano ya Miss East Africa huko Ulaya pia watashiriki katika mashindano ya Miss East Africa 2012 yatakayofanyika tarehe 07 Desemba katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam warembo hao ni:
1. MISS EAST AFRICA BELGIUM- Cynthia Ikwene (24)
2.MISS EAST AFRICA NETHERLANDS- Mareg Marcos (21)
3.MISS EAST AFRICA FRANCE- Fiona Ruboneka (24)

Fainali za mashindano ya Miss East Africa 2012 zitashirikisha warembo kutoka Nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Djibouti, Eritrea, Sudan, Ethiopia, Malawi, Madagascar, Reunion, Comoros, Seychelles, na Mauritius.
Mashindano ya Mwaka huu yanayosubiliwa kwa hamu yanatarajiwa kushuhudiwa na mamilioni ya watu Duniani kupitia kwenye luninga zao na pia kwa njia ya Internet ambapo yatautangaza utalii wa Tanzania kwa kiasi kikubwa na pia kujenga umoja wa Afrika mashariki na kudumisha utamaduni wa ukanda huu wa Afrika.
Mashindano ya Miss East Africa yanaandaliwa na kumilikiwa na kampuni ya Rena Events Ltd ya jijini Dar es salaam.Pia unaweza kusoma…http://wwwmasterkif.blogspot.com
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s