Vodacom Yaichangia Hospitali Ya CCBRT Sh. Bilioni Nane

 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteakionesha cheki ya Shilingi bilioni Nane iliyotolewa na Kampuni ya VODACOM kwa ajili ya ujenzi wa hospitali maalumu itakayo shughulika kutibu wanawake walioathirika na Ugonjwa wa Fistula pamoja na ulemavu mwingine.
 
Wengine katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe.Janet Mbene,Mkurugenzi Mtendaji VODACOM Tanzania Bwana Rene Meza,Ofisa mtendaji Mkuu Hospitali ya CCBRT Bwana Telemans  Erwin na kulia ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik
 
                      Picha na Freddy Maro
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s