HAPA NI KING KIF NA RENATUS PAMBA (DIWANI WA SINZA) JANA USIKU NDANI YA CLUB BILICANAS…!

ImageNi jana usiku , nilikutana nma Mheshimiwa diwani wa Sinza ! Huyu mheshimiwa nina fahamiana naye kwa miaka sasa , mwaka 2004-5 wakati huo alikuwa ni kijana wa muziki wa Bongo Flava , nilimpandisha jukwaaani kwenye ukumbi huu huu , akaimba traki zake mbili akiwa na jamaa yake ambaye waliunda kundi lao linaloitwa Love Forever  .Siku hiyo nilikuwa naizindua albamu ya Oten inayoitwa Hebu Nicheki(King Kif Productions), baadaye alijiunga na CHADEMA ambapo uchaguzi uliopita aliwania udiwani na kupita kwa kishindo,kwa kifupi najivunia udiwani wake wa Sinza!Habari hii inapatika http://www.kingkif.blogspot.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s