Vodacom Waendesha Kampeni Ya Kupima Afya Moshi

 

 

 Dr Erasto Sylvanus (kushoto) akimpima mtoto waliofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

 Dr Yakubu Sanga (kushoto) akimhudumia msanii maarufu wa televisheni Bi. Kiroboto alipofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

 Sehemu ya madaktari wa Chama Cha Madaktari Tanzania – MAT wakiwahudumia wangonjwa waliofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

 .Dr Elibariki Kalua (kulia) akimpima sukari mama Felister Raymond alipofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

  Dr Nazeem Shabir (kushoto) akimpima Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule  katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s