Ujumbe wa American Style na Ijumaa Neusi (Black Friday) Baada ya Thanksgiving

 
Haya tena Ijumaa Neusi (Black Friday) ndio hiyo tena imewadia, asie na mwana aelekee jiwe, ila napenda sana kutoa ujumbe huu kwa wadau wangu wanao tumia kadi za mikopo yani (Credit Cards) hakikisha unafanya malipo yanayotakiwa kwa wakati kwaajili ya mkopo unaokopa, na usikubali kubaki na deni lisilo la lazima.
 
Baada ya hapo, hatua inayofuata ni kuhakikisha kuwa unadhamiria kwa hali na mali, hata ikiwezekana kwa kujinyima, ili uweze kulipa na kuachana na madeni hayo kabisa, ukianza na moja na baada ya jingine.
 
Chunga sana usije kuharibu kadi yako ya mkopo!Chanzo:swahilivillablog
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s