Rais Kikwete ateta na Rais Kabila Kampala

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila mjini Kampala Uganda leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa makuu.Mkutano huo ulijadili hali ya usalama ya Mashariki ya DRC eneo ambalo limetekwa na waasi wa kikundi cha M23.Baadaya Rais Kikwete na ujumbe wake walirejea jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri wa ulinzi wa Afrika ya Kusini Bi.Mapisa Nqakula wakati wa mkutano wa Wakuu wa nchi za maziwa Makuu uliofanyika katika hoteli ya SpekeResort jijini Kampala,Uganda jana(picha na Freddy Maro)
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere muda mfupi baada ya kuwasili kutokea Kampala,Uganda ambapo alihudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa makuu(picha na Freddy Maro)
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s