Kutoka Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo(CHADEMA) John Mnyika:Shime tujitokeze kutoa maoni yetu kupata Katiba Mpya!

 
Mbunge wa Jimbo la Ubungo(CHADEMA)John Mnyika
Rejeeni mikutano ya hadhara na vikao mbalimbali ndani ya jimbo letu la Ubungo katika kata mbalimbali ambapo nilihamasisha elimu juu ya haja na hoja za mabadiliko ya katiba.
 
Sasa zamu ya jimbo letu imefika kutoa maoni.
 
Toa sasa na himiza wananchi wenzako wengine nao washiriki kutoa maoni.
 
Endapo utakosa fursa ya kutoa maoni yako katika mikutano na Tume ya Katiba. Hakikisha unatoa bado maoni yako kwa njia hizi: Facebook Hapa: au Ingia Hapa ujaze maoni yako: au baruapepe: katiba@katiba.go.tz
 
Pia kwa watanzania wenzetu waliopo nje ya nchi, huu pia ni wakati wenu wa kutoa maoni kwa kupitia: Facebook Hapa:au Ingia Hapa ujaze maoni yako:au baruapepe: katiba@katiba.go.tz
 
 
RATIBA YA MIKUTANO YA MAONI YA KATIBA JIMBO LA UBUNGO.
NA.
 
KATA
 
TAREHE
 
MAHALI
MUDA WA MKUTANO
KUANZA
KUMALIZA
1
KIMARA
 
27/11/2012
BAHAMA TRA
3:00 ASB
6:00 MCH
UBUNGO
S/MSINGI MSEWE
8:00 MCH
11: JIONI
2
KIBAMBA
 
28/11/2012
S/MSINGI KILUVYA
3:00 ASB
6:00 MCH
MBEZI
S/MSINGI MBEZI
8:00 MCH
11:00 JIONI
3
 
GOBA
 
02/12/2012
ZAHANATI YA GOBA
3:00 ASB
6:00 JIONI
4
KWEMBE
 
03/12/2012
KIBAMBA HOSPITAL
3:00 ASB
6:00 MCH
SINZA
UWANJA WA TP
8:00 MCH
11: JIONI
5
 
SARANGA
 
04/12/2012
STENDI YA BONYOKWA
 
8:00 MCH
 
11: JIONI
6
 
MSIGANI
 
05/12/2012
UWANJA WA TANESCO
 
3:00 ASB
 
6:00 JIONI
7
 
MANZESE
 
07/12/2012
UWANJA WA BAKHRESA
 
8:00 MCH
 
11: JIONI
8
 
MABIBO
 
10/12/2012
S/MSINGI MPAKANI
 
3:00 ASB
 
6:00 JIONI
9
 
MBURAHATI
 
11/12/2012
S/MSINGI MBURAHATI U/KIFA
 
3:00 ASB
 
6:00 JIONI
10
MAKUBURI
 
13/12/2012
U/NJIA PANDA MABIBO HOSTEL
 
3:00 ASB
 
6:00 MCH
MAKURUMLA
GOMBERO
8:00 MCH
11: JIONI
 
 
MUHIMU: naomba wananchi wakati mkituma/toa maoni yenu, mnitumie pia nakala kwa simu: 0715-37 95 42 au baruapepe: mbungeubungo@yahoo.com kwa kuratibu na kurahisisha shughuli za ufatiliaji kwani kwa mujibu wa sharia ya mabadiliko ya katiba ilivyo sasa wabunge ni wajumbe wa Bunge la Katiba hivyo napaswa kupata nakala ya maoni ya wananchi pia juu ya katiba mpya niweze kuwakilisha kwa hatua hiyo ikifika.
 
Pia, napaswa kupata maoni yao kuhusu mchakato wa kupata katiba mpya ili niyazingatie wakati natekeleza wajibu wa kuwakilisha wananchi, kutunga sheria na kusimamia tume na serikali kwa ujumla wake ili nchi ipate katiba mpya na bora kwa maendeleo ya wananchi.
 
 
Maslahi ya Umma Kwanza!
John Mnyika
Mbunge Jimbo la Ubungo
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s