
Adrian Hillary Stepp kutoka East africa Redio , Blogger Cathbert Angelo wa Kajunason Blog na Blogger King Kif.Ni siku ya Ijumaa usiku ndani ya ukumbi wa Thai Village maeneo ya Masaki ambapo bendi ya Skylight ilifanya mambo kibingwa.Kwa picha zaidi zama….http://www.kingkif.blogspot.com
Advertisements