Taarifa Ya Kuaga Na Kusafirisha Mwili Wa Fred Mtoi…!

 
 
 
 
TAARIFA YA KUUAGA NA KUUSAFIRISHA MWILI WA FRED MTOI

 

           Wapenzi wa BBC, ndugu, jamaa na marafiki,

 

Tunawaarifu kuwa ibada ya kumuaga ndugu yetu mpendwa Fred Mtoi, kwa walioko Uingereza itafanyika Jumamosi tarehe Mosi Disemba 2012 katika Kanisa la St. Anne’s Lutheran mjini London kuanzia saa tano kamili asubuhi.

 

Anwani ya Kanisa ni:St Anne’s Lutheran Church,

 

Gresham Street,

 

London

 

EC2V

 

Safari ya kuupeleka mwili wa marehemu Dar es salaam nchini Tanzania itakuwa Jumatatu tarehe 3 Disemba 2012 jioni kwa ndege ya Shirika la British Airways na kuwasili huko Jumanne saa moja asubuhi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.

 

Shukran za dhati kwa Shirika la BBC kwa kushughulikia na kugharamia mipango yote ya kuusafirisha mwili wa marehemu Fred hadi Tanzania.Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadri zinavyojitokeza kuhusu mipango ya msiba huu mpaka mwili utakaposafirishwa kwenda nyumbani Tanzania.

 

Idhaa ya Kiswahili ya BBC

 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na
      Zawadi Machibya +44 795 260 7038
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s