VITUKO MSIBA WA SHARO: ROSE NDAUKA ALIPANDISHA MASHETANI

 

 

 
MSANII nyota wa filamu, Rose Ndauka alipandisha mashetani siku ya mazishi ya SharoMilionea.
 
Baada ya kupandisha mashetani, Rose Ndauka alitaka kung’oa moja ya maturubali yalifungwa msibani hapo.
Kitendo cha msanii huyo kupandisha mashetani kilisababisha kizaazaa kikubwa kiasi cha askari polisi kusaidia kumtuliza.
Kali zaidi ni kwamba mashetani hayo yalisababisha nyota huyo wa filamu amwage radhi kwa kuacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake yasiyostahili kuonekana hadharani.Chanzo:www.saluti5.com
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s