JOHN MNYIKA ASHINDA RUFAA YA KUPINGA USHINDI WAKE KATIKA JIMBO LA UBUNGO

 
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mh John John Mnyika.
Mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, John Mnyika, ameshinda rufaa ya kupinga ushindi wake wa Ubunge katika jimbo hilo.

Hiyo ni baada ya aliyekuwa mpinzani wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Hawa Nghumbi(CCM) aliyekata rufaa dhidi ya matokeo ya ushindi wa Mnyika kuondoa rufaa yake asubuhi ya leo.

Kesi hiyo ilikuwa ikisikilizwa na jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufani.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s