Sherehe Za Uhuru Tanzania Na Kenya Luton – Uingereza

 

 

 

 
Luton Tanzanian Community (LTC) Uingereza Kwa kushirikiana na Tripple EM Inawaletea Sherehe za Uhuru wa Tanzania na Kenya (Double Celebrations in one) Jumamosi Tarehe 15/12/2012, Roman Way Tomlinson Avenue LU4 0QL – Luton.
 
Kutakuwa na burudani za kumwaga vichekesho na majonjo ya asilia yetu wana East African Nyama Choma, Tusker na Vyakula asilia vya nyumbani km. Ugali, Kienyeji, Mihogo ya Kuchoma chachandu na Samaki n.k Kiingilio ni Paundi tano tu kabla ya saa sita usiku na baada ya hapo ni Paundi kumi.
 
Magoma yote ya mwambao na bongo flava na Mayenu kama kawa chini ya ma DJs CYMOH, DJs PAPS, DJs JOE HAMEL na Mtaalam DJs Double T wataangusha magoma kuanzia saa mbili usiku mpaka Majogoo Pia kutakuwa na suprises kubwa ya kutisha siku hiyo usikose.
 
Watanzania na Wakenya wote UK bila kusahau wana Afrika mashariki wote na marafiki  Mnakaribishwa:
 
     Abraham Sangiwa
…………………………………………..
Katibu – Luton Tanzanian Community.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s