Kuanzia Januari mosi marufuku kuzalisha au kusambaza kazi ya filamu na muziki isiyokuwa na stempu.

Afisa Utafiti Mwandamizi wa TRA Ephraim Mdee akielezea kuanza kwa mikakati ya urasimishaji wa tasnia za filamu na muziki na kuwasihi watanzania kuhakikisha wanashiriki katika kulinda, kuthamini na kuendeleza tasnia za filamu na muziki kwa kununua bidhaa zilizowekwa stempu za kodi. Katikati ni Katibu mtendaji Bodi ya Ukaguzi wa Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo na kulia ni Afisa Elimu kwa Mlipakodi wa TRA.Chanzo;moeblog

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s