Tanzazo la Msiba DMV

 
Mr.Alexander Minja Kombe Enzi ya uhai wake
 
Familia ya Mary Kombe mjini Washington,DC inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Mr.Alexander Minja Kombe kilichotokea leo alfajiri(ijumaa -December 14,2012)nyumbani kwake Lanham,Maryland.
 
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.Amina.
 
Msiba upo nyumbani kwake:
8918 2nd Street
Lanham,Md 20706
 
Kwa habari zaidi wasiliana na wafuatao:
George Kombe 240 476 3260
Leslie Kombe 240 386 7583
Stella Kombe 301 281 1116
Dorice Mushi 240 688 3219
Jerome Kassembe 240 682 6067
Baraka Daudi 301 792 8562.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s