Wateja wa M pesa watakaonunua bidhaa Duka la Shoppers kupata muda wa maongezi bure.

 
 Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Kelvin Twissa,akiongea na waandishi wa habari kuhusu kununua bidhaa mbalimbali katika duka la shoppers Plaza(Supermarket) kupitia huduma ya M pesa.
 
SWAHILI
Sasa M-Pesa imewarahisishia wateja wanaofanya manunuzi katika duka la Shoppers Plaza(Supermarket)ya Msasani na Masaki jijini Dar es Salaam. Vilevile utapata Tsh 1000 kama muda wa maongezi bure mara baada ya kufanya manunuzi kupitia huduma ya M pesa.
 
Ili kuweza kulipia manunuzi dukani hapo ni rahisi sana, unachotakiwa kufanya:
 
Kwanza chagua bidhaa unayotaka kununua,na Muuzaji katika  kaunta ya malipo atakutaarifu jumla ya bei unayotakiwa kulipia. Hatua inayofuata ni kubonyeza *150*00# kwenye simu yako ili uweze kupata Menu ya M-Pesa halafu fuata hatua zifuatazo;
 
Bonyeza 5  kuchagua Nunua Bidhaa
 
·         Bonyeza 1 kama unafanya manunuzi  Shoppers ya Msasani au bonyeza  2 kama ni Shoppers ya  Masaki
·         Ingiza namba ya tili ambayo ni aidha 660660 kama ni  Shoppers Msasani au ingiza 607060 kama ni  Shoppers Masaki
·         Weka kiasi
·         Weka namba ya siri
·         Bonyeza 1 kuthibitisha au 2 kubatilisha
 
Baada ya manunuzi kufanyika, utapata  ujumbe mfupi au  SMS kukujulisha malipo yameshafanyika. Muuzaji atapata ujumbe wa manunuzi kwenye komputa yake na atakupatia risiti kama kithibitisho cha manunuzi.
 
 
ENGLISH
 
 
M-Pesa continues to make your  life easier!
You can now purchase groceries at Shoppers Plaza  Supermarket  in Msasani  or Masaki and pay through M-pesa; you will get Tsh. 1000 worth of airtime for free that you can use for on-net calls, SMS and internet.
 
This is all you need to do :
First,  select your goods.  The goods  bought will be scanned as usual (in bar code reader)and the teller will notify you of the amount to be paid.
Then,  dial *150*00# to access the M-Pesa menu

·         Select Buy Goods
·         Select Shoppers
·         Enter till number (660660 for Shoppers Msasani; 607060 for Shoppers Masaki)
·         Enter the amount that you need to pay the Supermarket
·         Enter your PIN
·         Submit

 
After the  transaction is completed you will receive an SMS notification and the teller will receive payment notification at the till.  Ensure you are issued with  a receipt after purchase as proof of purchase.
 

Happy Shopping!Pia unaweza kuzama…http://wwwmasterkif.blogspot.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s