Dkt.Bilal Amuaga Rais Wa Madagascar

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Rais wa Madagacar

Andry Rajoelina, wakati amkisindikiza kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam alipokuwa akiondoka nchini leo Desemba 15, 2012 kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kulia) akiagana na Rais wa Madagacar, Andry Rajoelina, wakati alipokuwa akimsindikiza kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Desemba 15, 2012 kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini. Picha na OMR

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s