JK Kwenye Sherehe Ya Wenye Viwanda…

 

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Distilleries Bw David Mgwassa kombe la

ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) usiku wa kuamkia leo Ijumaa
Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena Inn. Kulia ni Mwenykiti wa makampuni ya IPP Dkt. Rginald Mengi na Kushoto ni Bw. Arnold Kileo.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi na wadau wa Tanzania Distilleries bada ya kunyakua kombe la
ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) usiku wa kuamkia leo Ijumaa
Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena Inn.
 
PICHA NA IKULU
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s