Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe:“Kama CCM wakitumia polisi sisi tutapambana kwa njia nyingine ambayo sio vurugu wala kugombana na vyombo vya dola”

Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe Akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam jana.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema mwaka 2013 utakuwa mwaka wa chama hicho kutumia nguvu ya umma, itakayolenga kuishinikiza Serikali kuyafanyia kazi mambo ya msingi ambayo yamekuwa yakipigiwa kelele tangu mwaka 2010.

Amesema kutokana na hali hiyo kuanzia Januari mwakani hakuna kulala wala mtu kupumua, kwamba chama hicho kitafanya harakati za kisiasa za aina yake ikiwa ni pamoja na kuifanyia maboresho Operesheni yake ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C).Kwa habari zaidi Bofya na Endeleaa>>>>>>>
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s