Mbunge wa Mpanda Mjini(CHADEMA)Said Arfi atupa kadi ya Chadema kikaoni baada ya kukerwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Mkoa wa Rukwa, Laurent Mangweshi kuwa katika Uchaguzi Mkuu uliopita, alipokea rushwa kutoka kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda(Kushoto)akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa chadema  Taifa na Mbunge wa Mpanda Mjini Chadema Said Arfi kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma hivi karibuni.
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezidi kuandamwa na migogoro baada ya jana kuibuka mwingine mkubwa katika kikao chake cha ndani mkoani Katavi kiasi cha kumfanya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Said Arfi, kutupa kadi yake ya uanachama.
Huu ni mgogoro wa pili mkubwa kuripotiwa katika kipindi cha juma moja lililopita baada ya ule wa wilayani Karatu ambako pamoja na mambo mengine uliishia kwa Kamati Kuu kuusimamisha uongozi wote wa chama hicho wilaya.Kwa habari zaidi bofya na Endelea…….>>>>>>
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s