Breaking News: Godbless Lema Ni Mbunge wa Arusha Tena.!

 

Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema ameshinda Rufaa yake ya Ubunge leo Asubuhi na hivyo kuendelea kuongoza jimbo lake la Arusha mjini.

Lema alivuliwa ubunge Aprili 5, 2012 katika hukumu iliyotolewa na Jaji Gabriel Rwakibalira, kutokana na kesi iliyofunguliwa na makada watatu wa CCM; Mussa Mkanga, Happy Kivuyo na Agnes Mollel, wakipinga ushindi wake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.

Chanzo: Mo Blog. Hongereni Chadema na Wanaarusha wote kwa ushindi wa kishindo.

Advertisements

5 Comments

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s