RAIS KIKWETE APONGEZWA NA WASANII WAKONGWE KWA KUWAJALI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Desemba 21, 2012 amepokea ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamuuliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam kwa kuwajali wasanii wa aina zote na hata kuamua kutoa tuzo kwa wasaniiambapo mwaka huu amewatunuku Muhidin Maalim Gurumo na Hayati Marijani Rajabu.

PICHA NA IKULU

Rais Jakaya Kikwete akiongozana na Kiongozi wa Bendi ya Njenje Waziri Ali wakati wasanii walipomtembelea Ikulu leo.

Waziri Ali kwa niaba ya wasanii wenzake akitoa salam za Pongezi Kwa rais Jakaya Kikwete kutokwa wasanii kutokana na mchango wake katika kuwatambua na kuwasaidia wasanii nchini.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mwanamuziki King Kikii na wanamuziki wasanii wengine wakati akiagana nao Ikulu leo jijini Dar es salaam.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s