Mhe.Edward Lowassa Afanya Sherehe ya kuadhimisha Mwaka Mpya na Kuwakaribisha Makada kadhaa wa CCM Nakusema”Salamu zangu za Mwaka Mpya kwa Watanzaniaa, nawaomba wapitishe uamuzi mgumu kwa kila changamoto watakazokabiliana nazo Wameandika katika mitandao ya kijamii kuwa kuna sherehe kubwa ya kisiasa. Mimi nawaambia waache porojo hizo.Nimekuwa nikiandaa sherehe hizo tangu mwaka 1995,wao wakitaka waige mfano huu,”

 

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa
MAKADA kadhaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana walikusanyika jimboni kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa kufanya sherehe ya pamoja ya kuadhimisha Mwaka Mpya.

Habari zilizotufikia  zimetaja makada hao kuwa pamoja na Andrew Change, Beatrice Shelukindo, Peter Serukamba na Hamis Mngeja ambaye ni Mwenyekiti wa Mkoa wa  Shinyanga.

Akizungumza katika sherehe hizo, Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli amewataka Watanzania kutumia Mwaka Mpya kwa kuitisha uamuzi mgumu.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea……….>>>>>
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s