Kiwango cha ufaulu kidato cha pili nchini chapanda kwa asilimia 19.15.

 

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mh. Phillipo Mulugo  akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa Kidato cha Pili 2012 ambapo amesema yameonyesha kuwa kiwango cha ufaulu kimepanda kutoka asilimia 45.40 mwaka 2011 hadi kufikia asilimia 64.55 mwaka 2012.

Ameongeza kuwa watahiniwa 249,325 wataendelea na masomo ya kidato cha tatu mwaka huu.

Mh. Mulugo amefafanua kuwa watahiniwa 136,946 ambao wameshindwa kupata wastani wa ufaulu wa wa asilimia 30 na wale waliofutiwa matokeo yao kutokana na udanganyifu watalalamika kukariri kidato cha pili mwaka 2013.(Picha na Maktaba).

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s