NI MARUFUKU WALIMU KUWAREJESHA WANAFUNZI NYUMBANI KWA KISINGIZIO CHA ADA

 

agreey Mwanri 2Na Kibada Kibada wa Fullshangwe-Katavi

Serikali imepiga marufuku  Wakuu wa shule  za Sekondari wote  nchini kuwarudisha nyumbani wanafunzi kwa kisingizio cha kukosa Ada na michango ya aina yeyote ya aina mbalimbaliwatoto wanaoshindwa kuchangia na kulipa Ada kutokana na ama wazazi kutokawa  na uwezo wa kulipia kwa wakati michango hiyo.

Agizo hilo limetolwa jana na Naibu waziri wa Tamisemi Aggrey Mwanri wakati wa ziara yake mkoani katavi mara baada ya kutembelea shule ya sekondari ya Nsimbo Mkoani Katavi na kusomewa taarifa kuwa baadhi ya wanafunzi wanashinwa kuendelea na masomo kutokana na kukosa ada na michango mbalimbali inayotolewa mashuleni kutokana na wazazi waokuokuwa na uwezo.

“Ni marufuku kwa mkuu yeyote wa shule kuwrudisha nyumbani watoto kwa sababu ya kukosa ada ikiwamo michango ya madawati kwani kumrudisha nyumbani mtoto ni kumuonea michango hiyo adaiwe mzazi wakati mwanafunzi akiendelea na masomo”alisema Naibu waziri.

Alieleza kuwa michango yote inayotakiwa  kukubaliwa shule ni lazima Katibu Tawala wa mkoa husika  aione na kuridhia kwenye barua na siyo wakuu wa shule kujiamulia kienyeji hali inayoonesha kuwarudisha nyumbani wato ambao hawana Michango hiyo ikiwemo ya madawati.

Continue reading →

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s