HEBU CHEKI JINSI ILIVYOKUWA ‘BIRTHDAY’ YA ISHA MASHAUZI JANA

MKURUGENZI wa Mashauzi Classic, Isha Ramadhan maarufu kama Isha Mashauzi, jana usiku alifanya sherehe bab kubwa ya kuzaliwa kwake na kuhudhuriwa na watu kibao.

Sherehe hizo zilifanyika ndani ya ukumbi wa Mikocheni Resort Centre (MRC) ulioko Mikocheni nyuma ya Shoppers Plaza.

Katika sherehe hizo, Isha aliyezaliwa tarehe 5 Februari, alisema anaendelea kumshukuru Mungu kwa kuwawezesha wazazi wake wote wawili kushuhudia sherehe hizo na kumuomba aendelee kuwawezesha tena na tena.Zama …www.saluti5.com

Advertisements

One Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s