HEBU WACHEKI ZAMARADI MKETEMA NA WEMA SEPETU NA ALIYOSEMA WEMA KUHUSU KUCHUKUA FOMU YA KUSHIRIKI BBA 2013

 

 

 

Wema Sepetu na Zamaradi Mketema.
 

Stori ndani ya area 255 na 254 zimebeba mitaa kwamba mwigizaji Wema Sepetu ambae aliwahi kuwa Miss Tanzania amechukua fomu za kushiriki kwenye shindano la BIG BROTHER 2013.
Wema ameongea Exclusive kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM na kusema ameshangaa hata yeye kujiona yuko kila sehemu akizungumziwa kwamba anashiriki.
Ukweli ni kwamba bado hajachukua fomu ya kushiriki na wala hajawa na mpango wa kwenda BBA 2013 kwa sababu ana mipango mingi ikiwemo kufungua ofisi yake mpya.
Lakini kwenye line nyingine Wema kasema anafurahi kusikia watu wakimuongelea hivyo kwa sababu wameonyesha kumuamini kwa kumuona anaweza kuingia BBA, anachosisitiza ni kwamba  aliwahi kuwaza kwenda BBA lakini hajawa na uhakika kuhusu yeye kushiriki.Chanzo:millardayo.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s