THE GOVERNMENT IS NOT SURE ABOUT ITS TIME TABLE SO ITS PLANNER NEEDS TO GO FOR MORE STUDY, THANK YOU FOR THE CONSTANT LIE, WE APPRECIATE
MR. PRESIDENT AND YOU CABIN ATE
Hivi kweli amuoni kuwa mnawafanya watoto waishi kwa mashaka wengine hata kula awataki huki mimi ni Norbert from Arusha au nicheki sechur@yahoo.com my phone number is 0759622575 or 0652270983
Tutakuwa hatuingii kwenye hii blog yako!! tuone utakula nini mjini we lete habari zako za kizushi. Unajisikiaje sasa kutuzingua?! Acha hizo mtu mzima wewe.
THE GOVERNMENT IS NOT SURE ABOUT ITS TIME TABLE SO ITS PLANNER NEEDS TO GO FOR MORE STUDY, THANK YOU FOR THE CONSTANT LIE, WE APPRECIATE
MR. PRESIDENT AND YOU CABIN ATE
LikeLike
acha baaasi kuturusha roho mbona hakuna kitu? sio mpango uo wa kutupa pressure
LikeLike
Matokeo 2013 tumeyapokea?ajila zipo nyingi hata wizi ni ajira tosha!
LikeLike
da! Hzo cyO iShu
LikeLike
aheni uhuni huo bhana
LikeLike
Mnaönaa ujanja kutuzngua ? Sio ujanja uo ni ujinga lakn endeleen na ujinga na upumbavu wenu
LikeLike
acha kutuyeyusha;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
LikeLike
Yametoka kweli jaman
LikeLike
Acha hizo unauza sura tu hapo wa Bongo Bwana
LikeLike
matokeo yako wapi?
LikeLike
we unauliza matokeo, umeshatafuta kichaka?
LikeLike
Acheni ushoga
LikeLike
acha kuwapa watoto pressure nin unawarusha roho utazani ww ujawah kufanya mtihani ujue jot la majibu.
LikeLike
the result of form four 2013
LikeLike
toeni tamko maalum kuhusu matokeo hayo acheni kuwarusha moyo watahiniwa
LikeLike
Kwann mnawaibia watanzania nyie wapuuzi?tunatumia pesa eti kutumia internet.,
LikeLike
Jaman mbona hamtumiiakili mlionayo achen kuturusha kiroho juu
LikeLike
Acha kutumia mitandao kihuni, kwaajili ya sifa za kitoto.
LikeLike
Usiwarushe madogo roho kwani wanajiamini.afu matokeo ya form four yatatangazwa next wiki.
LikeLike
Tunaendelea kuwa wapole katika matokeo yenu toeni mw wa 3.
LikeLike
Hivi kweli amuoni kuwa mnawafanya watoto waishi kwa mashaka wengine hata kula awataki huki mimi ni Norbert from Arusha au nicheki sechur@yahoo.com my phone number is 0759622575 or 0652270983
LikeLike
mbona matokeo hatuon kulkon
LikeLike
Tutakuwa hatuingii kwenye hii blog yako!! tuone utakula nini mjini we lete habari zako za kizushi. Unajisikiaje sasa kutuzingua?! Acha hizo mtu mzima wewe.
LikeLike
yan mnavoo turusharusha necta mtatuua mwaka huuu…..dahh. achen kamq nnayatoa yatoen nn tatzoo xaxa
LikeLike
acha ushamba bro kama bado ayajatoka tulia
LikeLike
kwanini lakini mnatufanya kama mabwege?? achane hizo bana nyie ni watu mnayejiheshimu bandikeni hayo matokeo basi msituzingue kabisaaaaaaa….
LikeLike
pressure kwa wahitimu wa form four achen jamaani
LikeLike
kama mtu hauna uhaklika bora usiseme haya matokeo yako wapi?
LikeLike
Madogo tulieni kutoka yatatoka tu iwe isiwe izo ni swaga tu za huyo bro. kama vip tulieni punguza presha next wik yatatoka…
LikeLike
HIZO ZILIPENDWAA JAMANN
LikeLike
Acheni harakaharaka yatatoka tu
LikeLike
Mbona yameshatangazwa lakini hayafunguki kwanini we jamaaa?????
LikeLike
babu mpaka saa hizi bado unatupiga changa la moto tu! weka kitu kiko nje!
LikeLike
matokeo mbna najaribu kufungua siyason?
LikeLike
KASI ZAIDI , NGUVU ZAIDI NDIO HIYO
LikeLike
great page
LikeLike
Achen ulagai matokeo yametoka watu wanahangaika hawayapat nyie vp achien ngaz
LikeLike
Hamko serious tunataka matokeo yaandakiwe vizuri nyie mnafanya kazi ya kubalansishs..haya ni maisha ya wanafunzi acheni siasa
LikeLike