38 Comments

  1. THE GOVERNMENT IS NOT SURE ABOUT ITS TIME TABLE SO ITS PLANNER NEEDS TO GO FOR MORE STUDY, THANK YOU FOR THE CONSTANT LIE, WE APPRECIATE
    MR. PRESIDENT AND YOU CABIN ATE

    Like

    Reply

  2. Tutakuwa hatuingii kwenye hii blog yako!! tuone utakula nini mjini we lete habari zako za kizushi. Unajisikiaje sasa kutuzingua?! Acha hizo mtu mzima wewe.

    Like

    Reply

  3. kwanini lakini mnatufanya kama mabwege?? achane hizo bana nyie ni watu mnayejiheshimu bandikeni hayo matokeo basi msituzingue kabisaaaaaaa….

    Like

    Reply

  4. Hamko serious tunataka matokeo yaandakiwe vizuri nyie mnafanya kazi ya kubalansishs..haya ni maisha ya wanafunzi acheni siasa

    Like

    Reply

Leave a comment