BREAKING NEWS :MUASISI WA WANAUME FAMILI AFARIKI ALFAJILI YA LEO, NI BARAKA MARTIN AKA BK

 
Muasisi wa kundi maarufu wa muziki wa Bongo Flava aitwaye BARAKA MARTIN SEKELA aka BK , amefariki alfajili ya leo katika Hospitali ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa , kwa mujibu wa Hassan Isaack Umande ambaye amewahi kuwa meneja wa kundi hilo, mwili wa marehemu bado upo hospitalini hapo na familia ya marehemu inajipanga kwa mazishi. Baadhi ya Nyimbo aliwahi kuchana  ni Ndege Tunduni (verse ya kwanza), Tatu Bila, kabla ya hizo ni Sitaki Dem Rmx ya Juma Nature, Kwa Maisha alioshirikishwa na Temba  na ktk traki kali inayoitwa Tunavyoishi wakiwa na Suma Lee na Dollo.Pia marehemu amewahi kurekodi traki zake mwenyewe , bado najipanga baadaye nitaeleza zaidi kwani mimi King Kif nimewahi kufanya naye shughuli nyingi za muziki.
kwenye hii picha kushoto ni mshabiki wa kundi hilo, katikati ni marehemu BK halafu Dotto aka D Chief .Mwenyezi Mungu mlaze mahali pema peponi marehemu BKna mchango wako utakumbukwa daima kwenye gemu la Bongo.Amina BK, D-Chief & webmaster asha in My Photos by

 

Advertisements

One Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s