MAIMARTHA JESSE AIPIGA CHINI KIMWANA WA TWANGA ….!

  https://kifltd.files.wordpress.com/2013/02/mai.jpg?w=289
 

UONGOZI wa ASET unaomiliki bendi ya Twanga Pepeta, umesema mchuano wa Kimwana wa Twanga upo pale pale na unatarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.
Mmoja wa viongozi wa Aset, Hassan Rehani ameiambia Saluti5 kuwa tofauti na uvumi uliozagaa kuwa mchuano huo umeyeyuka, ni kwamba Kimwana wa Twanga itaendelea kuwepo kila mwaka.
Rehani amesema badiliko pekee ni kwamba aliyekuwa mratibu wa Kimwana wa Twanga, Maimatha wa Jesse (pichani chini) hatakuwepo tena katika mchuano huo kwa vile hakidhi tena vigezo vinavyohitajika.
 
 
 
Hivi karibuni Maimatha alitangaza kuanzisha kinyang’anyiro kingine kitakachojulikana kama Kigoli kwa kushirikiana na Extra Bongo na Hassan Rehani ameitaja hali hiyo kama moja ya vitu vinavyomuondolea Maimatha vigezo vya kuratibu Kimwana wa Twanga.
Kwa mujibu wa Hassan mchuano huo ambao hushirikisha mabinti wenye vipaji vya kunengua mitindo mbali mbali ya Twanga Pepeta, utafanyika baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.Chanzo:www.saluti5.com
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s