Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF na Waziri wa Afya Zanzibar Juma Duni Haji Aung’uruma Magogoni

 

 Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF ambaye pia ni Waziri wa Afya Juma Duni Haji,akiwasalimia wananchi wa jimbo la Magogo,katika Mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magogoni jana machi 07/2013.
 Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF ambaye pia ni Waziri wa Afya Juma Duni Haji,akihutubia wananchi waliofika katika Mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magogoni jana.
 Baadhi ya Viongozi wa CUF wakimsikiliza Haji  Duni alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Magogoni.
 
Wananchi mbali mbali wakimsikiliza Haji Duni (hayupo pichani)akiwahutubia,huko katika viwanja cha Magogoni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s