TAMAA ZA MAISHA KWA WATOTO WA SHULE – 28% ya wanafunzi wameambukizwa HIV

 
Waziri wa afya wa Afrika Kusini Amesema kuwa zaidi ya asili mia 28% ya wasichana wa shule wameambukizwa virusi vya Ukimwi, ikilinganishwa na asili mia 4% tu ya vijana wa shule.

Hii ameelezea ni kutokana pakubwa na kuongezeka kwa mababa sukari au kwa jina lingine, *fataki*, ( Wazee wanao tembea na wasichana wadogo kwa umri).
Waziri Aaron Motsoaledi amesema kuwa wamepata ushahidi kuwa wasichana wengi wamejiingiza katika mapenzi na wazee waliowazidi ki umri badala ya kuwa na vijana wa rika lao.Takwimu za punde zaidi zimeonyesha kuwa asili mia kumi ya raia wa Afrika Kusini wanaishi na virusi vya HIV. Nchi hiyo imekuwa na mradi wa kuvuma zaidi wa kutoa dawa za kukabili makali ya virusi hivyo vya HIV , ARV tangu rais Jacob Zuma alipomteua bwana Motsoaledi kuongoza wizara hiyo ya afya yapata miaka minee iliyopita.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s