WASANII MBALIMBALI WAKUTANA KUJADILI MUSTAKABALI WA TUZO ZA KILI 2013

 

Wasanii wakiwa katika foleni kupata msosi

AY akitabasamu wakati wa kikao hicho.

Wasanii mbalimbali wakiwa pamoja katika meza ya chakula huku wakibadilishana…

Wasanii wakiwa katika foleni kupata msosi

AY akitabasamu wakati wa kikao hicho.

Wasanii mbalimbali wakiwa pamoja katika meza ya chakula huku wakibadilishana mawazo.

Mzee Yusuf (kushoto) na Chaz Baba wakichangia jambo katika kikao hicho.

Wasanii wa muziki mbalimbali waliohudhulia kikao hicho.

Baadhi ya wasanii wakiwa wamenyoosha mikono juu kuashilia kuwa wanataka kuchangia jambo wakati wa kikao hicho.

Wasanii mbalimbali wa muziki nchini, leo wamekutana kwa pamoja katika ukumbi wa New World Cinema, uliopo Mwenge jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandaaji wa Tuzo za Kili, lengo la kikao hicho likiwa ni kujadili namna Tuzo za Kili 2013 zitavyotolewa kuepuka lawama.

(PICHA: ISSA KWISA MPONI / GPL)

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s