SUMA MNAZALETI: MIMI NAMUUNGA MKONO LADY JAYDEE KWENYE SAKATA LAKE LA RUGE NA KUSAGA

 

 

 

 

 

Mkali wa miondoko ya bongo fleva anatamba na ngoma yake kali aliyomshirikisha OMMY DIMPOZI  chukua tyme SUMA MNAZALETI ameyasema maneno hayo leo kwa njia ya masseji Alisema” ebana nadhani unajua nini kinaendelea kuhusu lady jaydee! nachukua nafasi hii we kaka yangu ambaye umenisaidia sana kwa mda mrefu kukujulisha kuwa mdogo wako,Nitakuwa msanii miongoni mwa wasanii wanao support maneno ya lady jay dee Nakwambia haya kwasababu najua umenisaidia sana,but kama baada ya haya utaamua kuona sifai  sio tatizo pia! no interview 4 NOW  Nilikuwa nakupa habari  kama ndugu yangu wa karibu. lakini kama hili unaliunga mkono sio mbaya ukinijulisha kwamba hakuna tatizo na unaendelea kusaport kazi zangu. alimaliza kwakuandika jina lake suma mnazaleti.

 

Mwandishi wetu alinyanyua simu kutaka kujua zaidi juu ya sakata hili

 

mzazi kwanini umeamua kuchukua maamuzi hayo mazito?

Suma alisema ana sababu nyingi sana ambazo zimemfanya amuunge mkono lady jaydee kwenye mambo yake yanayomsibu sasa hivi na kubwa zaidi pia alizungumzia jinsi watu walivyomkatili kwenye tuzo za kili ambako kwenye academi alionekana kupata nafasi zaidi ya 3 kuwa nominies ikiwemo ya wimbo bora wakushirikiana lakini mwisho wa siku hakuingia hata sehemu moja, pili alilalamika kwakutopata airtime ya nyimbo zake kabisa katika kituo ambacho lady jaydee anarushiana nacho maneno na mengine mengi suma mnazaleti alifunguka.Chanzo:hyperhk.blogspot.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s