WAASI WA M23 WATOA VITISHO VIKALI KWA TANZANIA KWA MARA YA PILI

https://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2013/05/DSC05123.jpg

 

Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao. Ni hii ndio tweet yao M23 Congo RDC ‏@m23congordc 16h @ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto   MAJIBIZANO  YAO  NA  WAZIRI  MEMBE …

Advertisements

One Comment

  1. Mbona m23 wameikomalia Tanzania tu wakati nchi zinazoingia DRC ni pamoja na SA Malawi na Nabibia. Au wamekasirika kwa kuwa kwa kuwatumia ndugu zao Rwanda na Uganda wamezoea kuizuga Tanzania kuhusu uhayawani wao

    Like

    Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s