ALICHOANDIKA COMANDO LADY JAY DEE LEO BAADA YA KUMSIKIA RUGE HIKI HAPA:

 

 

 

Mwanadada jay dee baada ya leo kuamka mapema na ku tweet kwamba amepigiwa simu nying sana lkn amekuta miscall, huku akiuliza kupitia tweet yake hiyo kwani kuna nini, watu waliendelea kumpasha habari ya kua RUGE amejibu maneno yake yote, hivyo na yeye kuamua kuyafuatilia mpaka kuyapata sasa hichi ndicho alichoandoika….

 

“”Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake…Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender”” ameandika jide kupitia mitandao ya kijamii.
Advertisements

3 Comments

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s