RAY ‘ASINGIZIWA’ MTOTO WA BATULI

Na Mwandishi Wetu
KATIKA hali ya kushangaza, mashabiki wameibuka na kumsingizia mtoto wa mwigizaji Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ kuwa ni wa Vincent Kigosi ‘Ray’.

Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ akiwa na mwanaye.

Ishu hiyo imetokea juzikati katika mtandao wa Facebook ambapo awali, Batuli aliposti picha inayomuonesha akiwa na mwanaye, ndipo shabiki mmoja alipozua mada kuwa mtoto ni wa Ray.

Vincent Kigosi ‘Ray’.

“Manga Msabaha nitake radhi mwanangu anafanana na Vincent Kigosi jamani? Hunitakii mema wewe…jamani sijazaa na Vincent Kigosi pls wadau huyo siyo mtoto wa Ray mshindwe,” aliandika Batuli.Chanzo:www.globalpublishers.info

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s