RUGE MUTAHABA WA CLOUDS FM AJIBU TUHUMA ZA LADY JAYDEE KIUFUNDI

 

Mkurugenzi wa utafiti na maendeleo wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.

Akizungumza saa  mbili asubuhi ya leo kwenye  kipindi cha Power Breakfast cha Redio clouds FM ya jijini Dar es salaam , Mkurugenzi wa utafiti na maendeleo wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ameelezea mambo yafuatayo  kuhusiana na tuhuma nzito zilizotolewa na msanii nyota wa Bongo Flava Judith Wambura aka Lady Jaydee’ wiki kadhaa zilizopita:
I. Kasema vita ya Lady Jaydee ameielekeza sehemu isiyo sahii kama tatizo ni Bendi ya SkyLight basi apambane kuipiku bendi hiyo ambayo ilichukua wasanii wake wakati inaanzishwa na si kugombana na watu wengine akiwema Mkurugenzi wa Clouds FM Bwana Joseph Kusaga
2. Awaasa wasanii hasa hasa wa muziki wa Bongo Flava wawe wanakubali kupokezana vijiti na kujiandaa kwa maisha yajayo huku wakitumia vizuri pesa wanazopata kwenye muziki na shughuli zingine za biashara
3. Aelezea Clouds ilipomtoa Jaydee mpaka sasa alipo tangu 1999 -2000
4. Aaamua siku ya leo kutopigwa muziki wa Bongo Flava, yaani kuanzia saa tatu asubuhi hadi atakapoingia Dj wa nyimbo za usiku


5.Asema kuwa Clouds ni chombo binafsi kina maamuzi ya kufanya chochote pasipo kuvunja sheria za nchi
6.Asema siyo vizuri watu kuchafuana katika mitandao ya kijamii, kama kuna tatizo ni vyema kuonana na muhusika ili kumaliza tatizo
7.Awaasa wasanii kukabiliana na changamoto na si kuziona kuwa ni tatizo.Pia unaweza kubonyeza…

http://Wwwmasterkif.blogspot.com

Advertisements

One Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s