DIAMOND KUONGEZA IDADI YA MAJINA, MSAFI, SUKARI YA WAREMBO AKA MALAYA WA DAR..!

 

Nasibu Abdul “Diamond Platnumz” akiwa katika pozi mjini Reading anapoendelea na ziara yake.

TAFSIRI ya neno Diamond kwa kiswahili ni Almasi ambayo ni moja ya madini yenye thamani kubwa. Bila  shaka mwanamuziki Nasibu Abdul “Diamond Platnumz” analitendea haki jina hilo, nalo pia linamtendea haki. Msanii huyo wa Bongo Flava mwenye uwezo mkubwa jukwaani ni miongoni mwa wanamuziki wenye mashabiki wengi Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Mbali na jina hilo, pia anafahamika kama rais wa Wasafi na sukari ya warembo.

Katika pitapita za mitaani, imegundulika kwamba jina lake pia limezaa majina mengine mawili ambayo ni Dai-mond na Dia-mond. Ni majina ambayo yanasikika kutoka kwa baadhi ya mashabiki wake wanaoshindwa kulitamka jina lake vile inavyotakiwa.
Diamond ambaye kwa sasa yuko nchini Uingereza, mwaka huu yuko kwenye tuzo za muziki wa Tanzania “Kilimanjaro Tanzania Music Awards” kwenye vipengere vya msanii bora wa kiume kwa ujumla na msanii bora wa kiume Bongo Flava.
Habari na Mdau Datius Kalokola wa DATSONGWRITER BLOG

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s