HEBU MCHEKI LIVE: SALAMA JABIR KUTOKA EAST AFRICA “AKIBADILISHANA MATE” NA NJEMBA HADHARANI

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 
 

Mambo  vipi  mpekuzi….

Katika  pitapita   zangu nimefanikiwa  kumnasa  live  Salama Jabir  akinyonyana  ndimi  bila  chenga  na  mwenzake…!!


Nashindwa  kuthibitisha  huyo  wa  pili  ni  nani  na  ni  jinsia  gani….nikimwangalia  haraka  haraka  naona  kama  ni  mwanaume  na  namfananisha  na  mdogo  wake    Wema   Sepetu  aitwaye  Bill Sepetu…..

Nikijaribu  kukaza  macho  kwa  kwa  makini,  huyo  wa  pili  namuona  kama  ni  mwanamke  kutokana  na vazi  lake.Hicho  cha  mabegani  nakifananisha   na  sidiria  za  akina  dada….!!

Yaani  nimeumiza  macho  mpaka  yanauma…Nashindwa  kuyaamini  macho  yangu  kuhusu  Salama Jabir.Sikutegemea
..!!


Ni mimi,
Mdau  wenu…
Source ; Mpekuzi

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s