“MILIO YA SIMU YENYE MAUDHUI YA KIDINI IPIGWE MARUFUKU”…JAMES MBATIA

 

 

 

 

Mbunge wa kuteuliwa Mh. James Mbatia, (akichangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani),ameitaka serikali kuchukua hatua kuhakikishi milio ya kupokelea simu yenye maudhui ya kidini pale unapompigia mtu simu isitishwe nara moja….
 
Mh.Mbatia ameyasema hayo leo bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani.

Mh.Mbatia ametoa mfano kwamba hata sasa unaweza kumpigia simu afisa wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi na utakuta simu yake inatoa mlio wenye maneno au ujumbe wa dini yake.

Mh.Mbatia alitoa mfano wa maneno kama “pepo toka” maneno ambayo mtu huyasikia pale unapompigia mtu simu  na  kudai  kuwa  yanachochea  vurugu  za  kidini  na  kuleta  mgawanyiko  miongoni  mwa  watanzania .

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s