MASHUJAA KUZINDUA ‘RISASI KIDOLE’ JUMAMOSI HII

Afisa habari wa Mashujaa, Dodo La Buche (kushoto) akiwakaribisha viongozi wa bendi hizo kuongelea uzinduzi huo kwa waandishi wa habari.

Rais wa FM Academia, Nyoshi El Saadat, ‘Sauti ya Simba’ akizungumza na waandishi wa habari.

Rais wa Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’, akizungumza na waandishi.

Meza kuu wakisubiri maswali ya waandishi.

Nyoshi (kushoto) akiimba.

Mnenguaji wa FM Academia, Queen Suzy, akinengua mbele ya waandishi.

Mnenguaji wa Mashujaa, Lilian Internet, naye akiwajibika mbele ya waandishi.

Wanenguaji Queen Suzy na Lilian wakitekeleza wajibu wao.

Baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika hafla hiyo.

                                            Wanamuziki wa bendi zote mbili wakiimba kwa pamoja.
BENDI  ya muziki wa dansi ya Mashujaa inatarajiwa kuzindua albamu ya ‘Risasi Kidole’ Jumamosi  hii katika ukumbi wa Business Park, Kijitonyama jijini Dar.
Uzinduzi  huo utasindikiwza na Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ watakaotoa burudani ya mtindo wa ‘Cheza Kibega’.
                                                        (PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s