MAIMARTHA JESSE: SAFARI HII NATOA GARI KWA MWANAMKE KIGOLITZ 2013

ImageMkurugenzi wa Manywele Entertainment ya jijini Dar es Salaam Maimartha Jesse , leo asubuhi kaniambia kwamba ameamua kutoa zawadi ya gari lenye thamani ya shilingi Milioni tisa kwa mshindi wa shindano la Kigoli TZ 2013 .Shindano hilo la aina yake kwa wanawake wa Tanzania limepangwa kuzinduliwa tarehe 31 mwezi huu katika ukumbi wa Sun Siro huku bendi ya Extra Bongo  ikifanya burudani mbele ya wapenzi wa muziki. Hii blogu ni mdhamini mmojawapo wa shindano hilo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s