NIKKI MBISHI: NAKUJA KWENU NA “MSULI TEMBO MATOKEO SUNGURA”

 
Nikki Mbishi soon, kuachia wimbo ambao hautakuwepo kwenye media yoyote ile bali kwenye simu na computer za mashabiki wake.Nikki kupitia ukurasa wake wa facebook amesema, mtu kuipata single hiyo inabidi achangie shilingi 1000, na atapokea oda kupitia comments za ukurasa wake ambapo zoezi hilo anategemea kulianza siku ya jumatatu.
Wimbo huo ambao amaupa jina la “Msuli Tembo Matokea Sungura” unalenga kuwapa moyo watu wote wanaotumia nguvu, akili na jitihada kwa kiasi kikubwa lakini wanachokipata ni kidogo kulinganisha na walichokiwekeza
 
Kuna track yangu mpya mahususi kwa mashabiki tu wala sitaitoa kwenye media inaitwa “MSULI TEMBO MATOKEO SUNGURA” ikilenga kuwapa moyo watu wote wanaotumia nguvu,akili na jitihada kwa kiasi kikubwa lakini wanachokipata ni kidogo kulinganisha na walichowekeza,k ama wewe ni mmoja wa watakao niunga mkono kwa kuchangia Tsh 1000 ili uipate unaweza kupost comment yako na zoezi litaanza Jumatatu!#Asant eni.Chanzo:Dj Fettyblog
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s