Mtupiye macho Wolper Gamba aka Jack akiwa katika pozi usiku huu ..!


Wolper Gambe katika pozi

“Silewi na si mpenzi wa vileo lakini napenda muziki sana jina langu limetokana na muziki ambao naupenda sana ndio maana kwa sasa najiita Wolper Gambe ukiniita Wolper Gambe umefurahisha nafsi yangu kiukweli, watu wajua eti Gambe ni pombe hapana hizo ni swaga tu za sisi vijana, kitu kingine ninachopenda ni kumiliki gari nzuri,”anasema Wolper.

Aidha mwigizaji huyo alivyoulizwa kuhusu gharama ya gari yake mpya ya Mini Cooper alisema kuwa gari yake ni gharama kubwa lakini si rahisi kuitaja hadharani wakati kuna watu wana shida hawawezi hata kumiliki fedha ya kununulia chakula kidogo tu, msanii huyo ndio mwanamke pekee ambaye amekuwa akimiliki magari ya thamani kwa nyakati tofauti tofauti.Chanzo:Mussa Matejablog

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s